Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kusalimia.......nimeshutuka nilipoona neno "inakuwaje"!!!! Any way subri wnakuja, pole sana.Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
hata salama jombaa.punguza kunywa bia zenye mapovu anza na viroba.Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
HiInakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Khali bado aisee saa hizi ndo limezidi yaani nikikukojolea unaweza fulia nguo duh😒😒😒Hi! unaendeleaje na mkojo kutoa povu bado hali inaendelea au ulitibu vip?
Ulienda hospital kupima protin kwenye mkojo au kuangalia kama unatatizo la figo??Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Ndiyo kupima na kisukarfigo
AsanteeMkojo kuwa na mapovu mengi ni kiashiria cha kiasi fulani cha protein kuwa kwenye mkojo. Kwa kawaida protein inapaswa kubaki kwenye damu. Ni mara chache chache protein inaonekana kwenye mkojo, ikizidi sana inaashia dosari kwenye figo.
Kama ikiendelea sana ni Bema ukamuona Daktari akusaidie kutafiti kama kuna ugonjwa, lakini mara nyingine mkojo unapochanganyika na shahawa inawezae kutoka na povu pia.