Mkojo kuwa na rangi ya njanooooo

Mkubwa kuna mambo mengine kama hauyajui ni vyema kunyamaza nishashuhudia mtu alikufa chanzo ilikuwa anakunywa maji mengi sana kwa siku...kwahyo kama kitu haukijui ni vyema ukapiga kimya.

Hapo umenena kwa sababu maji mengi kiasi hicho kitaathiri balance ya salt mwilini.
 
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
Simpo,kama wewe au mwanadamu mwingine yeyote akikojoa mkojo wa njano basi ni ishara ya utajiri.Yani mwili wake wooooote umejaa dhahabu tena ile high quality mpaka dhahabu sasa imezidi inataka kutokea kwenye 'UBOHO'.nini chakufanya sasa?wasiliana na watu wa madini ili upate leceni ya kuanza uvunaji fasta.ANGALIZO:kuanzia sasa usitangaze kwa watu hali uliyonayo maana wakijua...............
 
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc

Mh!!!! lita 12 aisee ni nyingi mno kwa staili hiyo inabidi akae na kopo pembeni la kuweka mkojo
 
Mh!!!! lita 12 aisee ni nyingi mno kwa staili hiyo inabidi akae na kopo pembeni la kuweka mkojo

Siyo lazima kufanikiwa kwa asilimia mia moja hata akifanikiwa kwa 80% au 70% atakuwa katika nafasi nzuri, pia apunguze matumizi ya vinywaji vya jamii ya Soda.
 
Hahahaha...... Kumbe mtu kajaa madini halafu anauliza!!!!!
 
Lita3 kwa siku yatosha,au glas 8,lita 12 ni nini hiko mashindano??
 
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo

Inaweza kuwa kawaida, jaribu kunywa maji lita 2-3 kwa siku, halafu sikilizia siku 2 au tatu hivi sometimes hutokea kwenye hali ya ukame na jua kali... Ila pia angalia kama kuna dalili za unjano kwenye macho na kwenye ngozi hasa ya viganja vya mikono.. Au kama kuna maumivu ya tumbo au uvime tumboni kama vipo ndo inaweza kuwa tatizo na inabidi uende hospitali..
 
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc

Mmh12lts per day siatakufa huyo vp ww umewah kunywa maj yote hayo au unashauri tu wenzio?maji nimuhim lakin si kwa kiasi hicho inatakiwa kunywa lita tatu kwa siku nayo inategenea na kazi kama ni yakutoa jasho sana au la
 
Hahahaha...... Kumbe mtu kajaa madini halafu anauliza!!!!!

Ndio mkuu.
Watu wanauchumi wameukalia.

Itakuwa ngoma hiyo

sio bure nyie..!!!! ushaur mzuri ila check up ya ubongo muhimu na lazma mfanye msipo fanya kwa hiari mtafanya mkiwa milembe
 
Ni ishara kubwa mojawapo za kukuonyesha unapungukiwa maji mwilini. Niambie uzito wako nikukokotolee ni maji kiasi gani unapaswa kunywa kila siku.

Mathalani nina kg 75 maji kiasi gani yanatakiwa kunywewa kwa siku?
Tafadhali weka huo mkokotoo hapa kwa faida ya wengi!
 
kunywa maji ya kutosha sidhani kama ni ugonjwa huu
 
sio bure nyie..!!!! ushaur mzuri ila check up ya ubongo muhimu na lazma mfanye msipo fanya kwa hiari mtafanya mkiwa milembe

Mkuu achana na hao mabweg.e. Kama walivokushauri wadau kunywa maji kwa wingi. Afu kama unapiga ulabu kama mimi basi ujue ulabu nao huchangia kumwaga kojo la njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…