miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sio chini ya tano
ongeza tatu iwe nani ikiindelea mwone daktari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio chini ya tano
Mkubwa kuna mambo mengine kama hauyajui ni vyema kunyamaza nishashuhudia mtu alikufa chanzo ilikuwa anakunywa maji mengi sana kwa siku...kwahyo kama kitu haukijui ni vyema ukapiga kimya.
Simpo,kama wewe au mwanadamu mwingine yeyote akikojoa mkojo wa njano basi ni ishara ya utajiri.Yani mwili wake wooooote umejaa dhahabu tena ile high quality mpaka dhahabu sasa imezidi inataka kutokea kwenye 'UBOHO'.nini chakufanya sasa?wasiliana na watu wa madini ili upate leceni ya kuanza uvunaji fasta.ANGALIZO:kuanzia sasa usitangaze kwa watu hali uliyonayo maana wakijua...............WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
Mh!!!! lita 12 aisee ni nyingi mno kwa staili hiyo inabidi akae na kopo pembeni la kuweka mkojo
Simpo,kama wewe au mwanadamu mwingine yeyote akikojoa mkojo wa njano basi ni ishara ya utajiri.Yani mwili wake wooooote umejaa dhahabu tena ile high quality mpaka dhahabu sasa imezidi inataka kutokea kwenye 'UBOHO'.nini chakufanya sasa?wasiliana na watu wa madini ili upate leceni ya kuanza uvunaji fasta.ANGALIZO:kuanzia sasa usitangaze kwa watu hali uliyonayo maana wakijua...............
Kuna wengine mpaka wana gesi matumboni mwao mkuu alafu wanalalamikia mgao wa umeme!!Hahahaha...... Kumbe mtu kajaa madini halafu anauliza!!!!!
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
Ndio mkuu.mandieta aaaaaaaaaaaaa
Hahahaha...... Kumbe mtu kajaa madini halafu anauliza!!!!!
Simpo,kama wewe au mwanadamu mwingine yeyote akikojoa mkojo wa njano basi ni ishara ya utajiri.Yani mwili wake wooooote umejaa dhahabu tena ile high quality mpaka dhahabu sasa imezidi inataka kutokea kwenye 'UBOHO'.nini chakufanya sasa?wasiliana na watu wa madini ili upate leceni ya kuanza uvunaji fasta.ANGALIZO:kuanzia sasa usitangaze kwa watu hali uliyonayo maana wakijua...............
Ndio mkuu.
Watu wanauchumi wameukalia.
Itakuwa ngoma hiyo
Hahahahahaha.sio bure nyie..!!!! ushaur mzuri ila check up ya ubongo muhimu na lazma mfanye msipo fanya kwa hiari mtafanya mkiwa milembe
Ni ishara kubwa mojawapo za kukuonyesha unapungukiwa maji mwilini. Niambie uzito wako nikukokotolee ni maji kiasi gani unapaswa kunywa kila siku.
sio bure nyie..!!!! ushaur mzuri ila check up ya ubongo muhimu na lazma mfanye msipo fanya kwa hiari mtafanya mkiwa milembe