johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa". Inspekta alidai hakuwepo ila umeletwa mahakamani na mkemia kama ushahidi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 26 na 27/02/2018 itakapoendelea kusikilizwa.
Chanzo: Clouds tv!
Chanzo: Clouds tv!