Mkojo wa Wema Sepetu wazua utata mahakamani!

Mkojo wa Wema Sepetu wazua utata mahakamani!

Wema hakushauriwa vizuri. Angekiri kosa angeishia kupigwa faini isiyozidi milioni moja. Ila kwa sasa atatumia gharama kuubwa kuendesha hiyo kesi.
si amehamia kwenye chama "kubwa" watamsaidia upande wa Gharama
 
Account yako imekuwa hacked au ni wewe?
Samahani lakini mura

Ni Mimi mwenyewe GENTAMYCINE Mkuu na labda nikushangae tu Wewe ambaye hujanizoea hadi hivi leo. Mimi ni ' all rounder person ' halafu niko very ' undefined ' si tu hapa Jamvini bali hata kwa Watu walio karibu nami 24/7 na ndivyo nilivyo na sitokuja kubadilika.

Jitahidi unizoee tu Mkuu na kama labda utaona ' nakukera ' unaweza pia ukaacha kunifuatilia kwani hata hivyo hakuna siku niliyokulazimisha unifuatilie ila ninachojua ni kwamba nafuatiliwa na wengine wengi humu ambao wanaburudika na kufurahi nami ' Kimaandiko ' yangu.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom