mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
si amehamia kwenye chama "kubwa" watamsaidia upande wa GharamaWema hakushauriwa vizuri. Angekiri kosa angeishia kupigwa faini isiyozidi milioni moja. Ila kwa sasa atatumia gharama kuubwa kuendesha hiyo kesi.