Mkojo wa Wema Sepetu wazua utata mahakamani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa". Inspekta alidai hakuwepo ila umeletwa mahakamani na mkemia kama ushahidi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 26 na 27/02/2018 itakapoendelea kusikilizwa.

Chanzo: Clouds tv!
 
Inspekta kaushtukia mkojo,wasi wasi akili,unaweza usiww mkojo wa Wema.
 
Hakuna lolote hapa zaidi ya kutunukishia joko la wema
 
Wema hakushauriwa vizuri. Angekiri kosa angeishia kupigwa faini isiyozidi milioni moja. Ila kwa sasa atatumia gharama kuubwa kuendesha hiyo kesi.
 

Nitapata wapi Chupa hiyo iliyo na ' Mkojo ' wa Madam Sepenga niupigie ' Nyeto ' niweze Kupizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…