zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
Wakuu habari za majukumu,
Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea.
Jambo ni hili;
Nikiakaojoa then mwisho wa mkojo kuna ute mweupe pee unatoka hasa pale ninapojikamua kama nipo katika harakati za kushusha mzigo,nila sijawahi kuhisi maumivu hata siku moja ila huwa huu ute unatoka mara nyingi.
Je, kuna mwenye ufahamu na hili zaidi?