Mkojo wangu hutoka na ute

Mkojo wangu hutoka na ute

Baba huonugwadu umekujaaa nenda kautoe usije kutokea sehemu nyingine genye hizo mbaba
 
Mkuu angalia dalili zifuatazo kama unazo ndo ujue una tezi dume..afu pia tezi dume wengi inawaaffect wazee wa 50's..


1) Kupata shida wakati wa kuanza kukojoa.

2) Kutiririka kwa mkojo baada ya kumaliza kukojoa.

3) Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu.

4) Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.

5) Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote

6) kutoa mkojo uliochanganyika na damu.
Pamoja na kueleza dalili hizo watu wanapashwa kutambua kuwa, mwanaume anapoanza kuona na kuhisi baadhi ya dalili hizo, anapaswa kujua kuwa, seli za saratani katika tezi dume lake huwa zina umri wa takribani miaka saba na kuendelea.
Iwapo saratani imesambaa mwilini kiasi cha kuhusisha sehemu nyigine za mwili, mgonjwa anaweza kuwa na maumivu makali ya mifupa katika maeneo ya nyonga, mapajani na kiunoni.
Aidha mgonjwa huwa na dalili nyingine zinazoweza kumpata mgonjwa mwingine yeyote wa saratani kama vile kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu, kizunguzungu na kadhalika.

Pia angalia sperms zako kama zinatoka zikiwa zimechanganyikana na damu...
 
Wakuu habari za majukumu,

Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea.

Jambo ni hili;

Nikiakaojoa then mwisho wa mkojo kuna ute mweupe pee unatoka hasa pale ninapojikamua kama nipo katika harakati za kushusha mzigo,nila sijawahi kuhisi maumivu hata siku moja ila huwa huu ute unatoka mara nyingi.

Je, kuna mwenye ufahamu na hili zaidi?
daktari alivokwambia ivo ukamuona fala?
 
Je wakati hujakojoa huna hiyo hali
Yani wakati sikojoi hyo hali haitokei kabisaa kiongozi hii huja pale nimemaliza mkojo kabisa kisha labda ile nataka nitoe mzigo wa tumboni katika harakati za kujikakamua ndoo huwa zinatokaga na sijawahi pata maumivu kwa miezi yote hii kiongozi.....

Naam lete maoni kiongozi wangu
 
Baba huonugwadu umekujaaa nenda kautoe usije kutokea sehemu nyingine genye hizo mbaba
Tehehhe kiongozi bathiiiiiiii nimekuelewaaaa teheheh mana hapo naona umetumia tafsida mnoo
 
Ukienda haja ndogo kwa nini ukijkamue?

Unakojoa umechuchumaa au?

Cc: mahondaw
Waaaoooooo woyoooooooooooooo...

Kiongozi hapo nimekula kuku mwaka huu mana katika dalili ulizotaja sitawahi kupatwa hatana dalili mojaaaaaa mda wote huoooo ..

Labda dalili ya pili inafanana na yangu kwamba mie...

HUTOKA MKOJO WAKATI WA KUKOJOA .....

hii ndo naona inashabihiana ya yako ile ya pili kwa mbaliiiiii....

Mkuu nashkuru kwa somoo
 
Ukienda haja ndogo kwa nini ukijkamue?

Unakojoa umechuchumaa au?

Cc: mahondaw
Mkuu mie sikojoi nimesimama mara nyingi huwa nachuchumaa au kukaa kwenye sink...

Si unajua wengine tukikojoa lazima tupitishe maji kunako dhakari then twaipeleka nyumbani kwake(boxer)..

Naam mkuu ndo hvyo
 
Back
Top Bottom