zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
Ni dalili za kuwa na tezi dumeWakuu habari za majukumu,
Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea.
Jambo ni hili;
Nikiakaojoa then mwisho wa mkojo kuna ute mweupe pee unatoka hasa pale ninapojikamua kama nipo katika harakati za kushusha mzigo,nila sijawahi kuhisi maumivu hata siku moja ila huwa huu ute unatoka mara nyingi.
Je, kuna mwenye ufahamu na hili zaidi?
Mh mkuuNi dalili za kuwa na tezi dume
Mkuu mie ni kidume cha mbeguuKwani wakike au wakiume [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Tehehehe kiongozi mbna kama unaenda kunako uhalisia.....lohhhhhh.....Inaonyesha hujala nyama mbichi kwa muda,na sisi wanaume huwa tunasumbuliea na kuiwazia,ukimuona mdada tu unamvua chupi kichwani,ute lazima utoke.
Vp ndg?Mh mkuu
Kama hyo alivyoelezea hali yakeHyo tezi dume tu....
Huwa inakuwaje kiongozi
Bonge la dume kiongoziiJinsia yako kwanza