Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Poa mkuu mie sio mtazamaji wa porn kabisaaMkuu angalia kama ni mdau wa CHAPUTA, coz inalegeza sphincter muscles za tezi zinazohifadhi siemens kabla ya mshindo Hivyo ni rahisi kutoka wakati wa kukojoa.
Pia wadau wameshauri kuhusu kuangalia porn,ukiunganisha hizi ideas utapata jibu.
Hiyo ndio sababu mkuuNaam
Nimeenda nimeambiwa ni nimekaa mda meingi bila kufanya mapenziii ...Hiyo ndio sababu mkuu
Huo ute ute ni manii,zilizoweaga kutoka bila mpango
Wah hosp
Basi tafuta papuchi ugegedeNimeenda nimeambiwa ni nimekaa mda meingi bila kufanya mapenziii ...
Mkuu umetumia vigezo gani kunipa udada?? Ili namie nitumie hvyo hvyo kwakoKuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio katika ule mfereji wote ?
dada nyuzi zako zimekaa kama series.
Teehehehehe ngoja tuowe mkuu umri ushaenda huuBasi tafuta papuchi ugegede
namna unaandika, ila samahani sana kwa usumbufu wowote niliokusababishia nikiri sikukuita dada kwa dharau pia niombe radhi kwa yeyote aliyeudhika na kauli yangu.Mkuu umetumia vigezo gani kunipa udada?? Ili namie nitumie hvyo hvyo kwako
Doh mkuu hata mie hisia zangu zilinituma kuwa wewe ni dada kkaa jinsi unavoandika ila nikaona nikaushe tu..namna unaandika, ila samahani sana kwa usumbufu wowote niliokusababishia nikiri sikukuita dada kwa dharau pia niombe radhi kwa yeyote aliyeudhika na kauli yangu.
samahani sana ndugu kwa usumbufu, mimi ni mwanaume kamili tena mtu mzima sana.Doh mkuu hata mie hisia zangu zilinituma kuwa wewe ni dada kkaa jinsi unavoandika ila nikaona nikaushe tu..
Kumbe mwenzangu huna kifua kabisa asee ukaona ulitoe tu duhh..
Huwenda watu tuna hisia kali zaidi yako ila tunaficha hisia kuzitoa
Pengine twahisi hata uandishi wako tu una dalili za ushoga ila tunayaacha moyoni hatuyatoi...
Usiseme usichofahamu mkuu
HahahaaNi dalili za kuwa na tezi dume
Usijali mkuu mie ni mwanamke kamili tena nimekufasamahani sana ndugu kwa usumbufu, mimi ni mwanaume kamili tena mtu mzima sana.
Wakuu habari za majukumu,
Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea.
Jambo ni hili;
Nikiakaojoa then mwisho wa mkojo kuna ute mweupe pee unatoka hasa pale ninapojikamua kama nipo katika harakati za kushusha mzigo,nila sijawahi kuhisi maumivu hata siku moja ila huwa huu ute unatoka mara nyingi.
Je, kuna mwenye ufahamu na hili zaidi?
is this ain't personal?Usijali mkuu mie ni mwanamke kamili tena nimekufa
Haitekenyi mkuu na saivi niko mbioni kuowa....Kuna ' Mtabibu ' mmoja nimemshirikisha saula lako hili na akaniambia kuwa ni Mapinduzi makubwa ya dalili mpya za Mtu kuwa ' Msodoma Gomora ' na sikutaka tena kuendelea na mjadala nae. Labda nami nikuulize tu vipi wakati unapokuwa unakojoa na unatoa hizo ' manii ' sehemu za ' makalioni ' hasa ile idara Kuu ya uondoaji wa taka mwili ngumu za mwilini huwa haikuwashi au haikutekenyi Mkuu?
Haitekenyi mkuu na saivi niko mbioni kuowa....
Wala usiwe na shaka na usodoma hamna hapa..
Huyo ulikutana na mhuni tu..
NB.KUNA MATABIBU WAMESOMEA UHUNI