Kwani kawaida mkojo huwa unanukia?
Jitahidi unywe maji mengi utaona mabadiliko
Thankyu. Lakin maji huwa nakunywa sana tena asubuhi asubuhi kabla ya kula chochote
ni dalili mojawapo ya UTI, hasa kwa wajawazito, mkojo wenye harufu kali, baadae utaanza kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
Kama hupendi dawa sijui utaponaje.
Nenda dukani kanunue dawa inayoitwa AZUMA, kiboko ya UTI, bt kapome kwanza labda ni dalili za ugonjwa wa zinaa.Thankyu. Itabidi nikapime. Au naweza kutumia dawa gan bila kwenda hosp??
Nenda dukani kanunue dawa inayoitwa AZUMA, kiboko ya UTI, bt kapome kwanza labda ni dalili za ugonjwa wa zinaa.
Thankyu dya..nitaenda kupima kwanza!
Thankyu. Itabidi nikapime. Au naweza kutumia dawa gan bila kwenda hosp??