Mkojo wenye harufu....

Mkojo wenye harufu....

lovilea

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Habar zenu huku jf doktas??mwenye ujuz tafadhal anijuze. Je kukojoa mkojo wenye harufu ni tatizo? Na kama ni tatizo laweza kuwa tatizo gan? Nin tiba mbadala badala ya kwenda hospitali ? (kama ipo) maana i hate kwenda hospital na kumeza vidonge or sindano or wateva!
Asanteni!
 
Kwani kawaida mkojo huwa unanukia?
 
Jitahidi unywe maji mengi utaona mabadiliko
 
Kwani kawaida mkojo huwa unanukia?

Sidhan kama hili ni jibu. Bora ungesema hujaelewa ningefafanua. Anyways, tunatofautiana sana uelewa. Huwa haunukii ila kwa sasa unanuka sana harufu ambayo siku za nyuma haikuwa hivo
 
ni dalili mojawapo ya UTI, hasa kwa wajawazito, mkojo wenye harufu kali, baadae utaanza kusikia maumivu wakati wa kukojoa.

Kama hupendi dawa sijui utaponaje.
 
ni dalili mojawapo ya UTI, hasa kwa wajawazito, mkojo wenye harufu kali, baadae utaanza kusikia maumivu wakati wa kukojoa.

Kama hupendi dawa sijui utaponaje.

Thankyu. Itabidi nikapime. Au naweza kutumia dawa gan bila kwenda hosp??
 
Thankyu. Itabidi nikapime. Au naweza kutumia dawa gan bila kwenda hosp??

Niende tu hospital ukikutwa na uti umwombe dr sindano uti kwa dawa za kununua inaweza isipone mana dawa zinatofautiana nguvu sindano ndo nzuri
 
Back
Top Bottom