nic91
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 171
- 76
Hiyo gari model 2007 kodi yake 13.9 mil na gari yanyewe price kama 14000$ hadi kufika mkononi mwake ni 40mil hivi. Swali ni je kapataje hizo hela za kununua hilo gari wakati twajua kabisa hana kazi inayotambulika
Mkuu yule si pharmacist anadeal na kusambaza dawa za pumu kwa madiba.