Mkoko mpya wa Agnes Masogange

Mkoko mpya wa Agnes Masogange

mwambieni aachane na huyo boya kuna jet kwa ajili akiniruhusu kishika ------ moja even kwa sekunde moja
 
Nawependa sana wanawake wa kichaga,wengi wanajua kutafuta hela na wapo makini sana katika kutengeneza pesa. Wanataka umiliki halali na sio huo wa show off.
Muangalie mfano Ufoo Saro.

"Nlikuwepo":bolt:
 
mmmmhh...! pa kujificha mvua na jua anapo? awekeze kwenye assets na sio liabilities...wake up lady...!
 
Nchi nzima tumelogwa na mchawi wetu alishakufa miaka, kuposa haiwezekani
 
JAman wanawake wanaweza wakiwezeshwa, kashawezeshwa Huyo
 
Ameinunua kiasi gani? Mana hawachelewi kusema gharama yake ni Tsh. milioni 300.
 
Back
Top Bottom