Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.Wadau nasikia kwamba Mkoloni ameharakishwa Hospitali baada ya kula mtori. Aise Ni game chafu nini?
Kama autaki kuamini, - Up to you. Mimi nimepata first hand information.😛layball:Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.
First hand informations doesn't mean accurate informations na kwa nini ulazimishe ni game chafu wewe ni daktari umempima?Kama autaki kuamini, - Up to you. Mimi nimepata first hand information.😛layball:
Na nyie acheni speculations ina maana Mkoloni hajawahi kuugua, siku hizi za kampeni tutasikia mengi hata akionekana anapigia mswaki wa kijani mtasema kanunuliwa huyo.
Wadau nasikia kwamba Mkoloni ameharakishwa Hospitali baada ya kula mtori. Aise Ni game chafu nini?
First hand informations doesn't mean accurate informations na kwa nini ulazimishe ni game chafu wewe ni daktari umempima?