Mkomaindo: Ni adha kusoma huko

Mkomaindo: Ni adha kusoma huko

Rainbow

Member
Joined
May 2, 2008
Posts
98
Reaction score
2
Miaka kadhaa ya iliyopita, chuo cha uuguzi cha Mkomaindo, kilichopo Masasi, kilikuwa kikiheshimika sana. Lakini miaka ya hivi karibuni imekuwa ni adha kusoma huko.

Wanafunzi wamekuwa wakitolewa darasani kwenda kusomba maji kwa ajili ya matumizi ya walimu wao, na wamekuwa wakiwafanyia kazi za nyumbani walimu hao.

Je, hivi tutafika?
 
Back
Top Bottom