MKOMBOZI wa TANZANIA ni JF

MKOMBOZI wa TANZANIA ni JF

mstahiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Posts
308
Reaction score
7
Nini Ajenda ya JF 2010?
Kama Tunavyoelewa kwamba sisi na Wananchi kwa ujumla tumechoshwa na ufisadi na uongozi mzima wa Siri-kali yetu.Tumebakiza miaka 2 kufikia uchaguzi wa 2010.
Ningependekeza
(1)Tujipange
(2)Tuchangie kimawazo na kimali
(3)Tuielisishe Jamii
(4)Tuunganisha vyama vya siasa viwe pamoja

Naomba muongezee mawazo zaidi kuhakikisha tunaweka wabunge zaidi za nusu bungeni na kuchagua Rais mwingine.

Nnaamini kabisa MKOMBOZI wa TANZANIA ni JF
 
Back
Top Bottom