mkome wake za watu!

Kung'ang'aniwa sio kubakwa. . .bado mtu anaweza kusema HAPANA.

Lizzy, umenimaliza kabisa!
Jamani waokoeni kwenye visu vya waume zenu!
Hivi una imagine HAWARA yako akipigwa mavisu utumbo utoke nje na wewe unaona?
Au akigeuzwa nyuma mbele yako?
Unaweza kuepusha hayo yote kwa kusema NO
 
Wengi wao wanakuwa hawajakusudia kuua....
 
Lizzy, umenimaliza kabisa!
Jamani waokoeni kwenye visu vya waume zenu!
Hivi una imagine HAWARA yako akipigwa mavisu utumbo utoke nje na wewe unaona?
Au akigeuzwa nyuma mbele yako?
Unaweza kuepusha hayo yote kwa kusema NO

Okada. . .Ndio hivyo. Kung'ang'aniwa hakumlazimu mtu kusema NDIO sema eti wapo watu wanaotumia "alining'ang'ania" kama kisingizio!!
 
Last edited by a moderator:
Bora umewaambia! Lakini wengine ni sikio la kufa halisikii dawa!
 
Msela kafa kishujaa huyo,cheza na nyapu nini.Halafu huyo aliyemuua amekosea sana wa kua ni mwanamke bana.Imeniuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…