Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila ule mchezo mtamu jamani kha! hasa umpate mgongaji hodari, wallah ni noumer! mmhhh watu watachinjwa tu, hakuna utaalamu pale, unamkuta profesa mzima jasho linamtoka, maneno hayasikiki anavyokuwa anatwanga, halafu ukute kinu chenyewe chatwangwia tangawizi, mhhhh!
Faida yake nini sioni faida ya kutoa uhai wa mtu sababu ya K..Mke wako kama anafanya sex na mwanaume mwingine ni bora umpige talaka zake arudi kwao kuliko kuchukua uwamuzi wa kutoa mtu roho.
duuh! hivi kumbe waume zetu hamtuamini kias hiki? Lol mara nyingi sana huwa namuonea sana huruma mwanamke anayetoka nje ya ndoa yake kwa sababu ya vitu anavyovikosa, ikiwa ni upendo, hela nk. Lakin kamwe simuonei huruma mwanamme anayetoka nje eti kwasababu ni tabia yake.
Unajua tutatetea tu lakin ukweli ni kwamba tabia haina dawa hasa hii ya wanaume kutoka nje. Mwanamke wa mtu maskini kajeruhiwa but naamin kama angekuwa anapata kila alichohitaj asingalitoka nje ya ndoa yake.
Unaona sasa Asprin na @klorokwin mnataka kutumanisha kuwa ninyi mnatoka kwasababu sisi wake zenu tunatoka lakin ukweli ni kwamba mwanamke aliyeolewa akipata anachotaka anaweza kuish maisha yake yote akiwa ana fanya tendo la ndoa na mumewe tu. Hisia za kumdhani mwenzio ni mdhambi ni dhambi sana.
Pia ninyi mnatoka nje kwasababu ya tabia yenu tu na siyo vinginevyo.labda Bishanga utuambie kwanini wanaume wanatoka nje ya ndoa zao.
Aniache alafu atapata wapi Lizzy mwingine? Acha mchezo wewe!!!ushaachika wewe unaona aibu tu kusema.
Mwanamke wa kiafrika kutongozwa ni suna.ndio msitutongoze sasa.....
we mtambo kweli.....bishanga alambe mhogo? we wapenda kulamba hogo la jang'ombe sio?
@Bishanga wewe si ndio bingwa wa kuchukua wake za watu?.....tena nahisi jf nzima unashika namba moja tehe....ndio ujifunze sasa kuwa wake za watu ni sumu.Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:AUAWA BAADA YA KUFUMANIWAJoseph Lyimo,Kitetomkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili mzima baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.....
mie nakamua kwa kwenda mbele.
Basi kabla hawajatoka makwenu muwawekee mabango usoni.
Akijipendekeza, namla kama kawa.
Kongosho, naomba kuliwa na wewe!
Asprin, sema tu rafiki...................... hutaki kuacha?Dah! Aisee!:A S 12:
rafiki, kuna mjanja kaiba pwd yako ya JF, maana ni ngumu kuamini hayo maneno ya kwenye RED umeyaandika weweHahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.
Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....
Fellow tablet umenielewa? Haya niPM namba ya binti aliyeko bongo ambaye mme wake mko naye huko Singapore.