mkome wake za watu!

mkome wake za watu!

Kloro unajua kabisa mimi mke wa mtu. .yakikukuta ya kukukuta usinilaumu.

Halaf hii slogan ya mke wa mtu kwako mbona imeanza ghafla? mimi siielewi unajua, nakutaftia muda tu ukuje kunifafanulia. Si umekiona kiangazi kimeanza? sasa beach niende na nani?
 
Hapa kako kamoja jamaa wanakamega huku kako kwenye simu kanaongea na hazbendi wake. Yaani wajanja wanamchora tu yule hazbendi, halaf kakikata simu kakiulizwa sasa yule nani? kanajibu ndio b w ege wenyewe yule aliekuolea wewe unile.
hehehe natania tu wakuu, mkipata nafasi ya kuwapeleka wake zenu ulaya msiiachie kabisa
Hahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.

Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....

Fellow tablet umenielewa? Haya niPM namba ya binti aliyeko bongo ambaye mme wake mko naye huko Singapore.
 
he hehe, nawasubiri kwa hamu.

Tena waongeze kipengele cha hakuna kuuana

hehehe mimi nafkiri ipo haja ya kujitolea kuwasaidia wale ambao waume zao wako mbali ili kuwatunzia ndoa zao. Tutaingiza hii kwenye maoni ya katiba mpya ya MMU. Tumsubirie Mbu na soulmate wake waje kuweka saini. Manake mmu bila mbu na soulmate wake ni sawa na shuhuli ya pwani bila pilau
 
Last edited by a moderator:
Mi nakushauri kwenye pendekezo la kusaidia anzeni na wanaume wenzenu kule segerea wanaogeuzana kwa ukame,
Dah greti thinka ana post 5 tu lakini kaja na hasira kweli.

Karib JF biggirl, naitwa klorokwini, nimepata mchumba hapahapa JF anaitwa Lizzy. Akinidump nitaomba unifute machozi, manake mi nikipenda napenda kuliko sharuku hani. Karib sana
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kuwa wewe na rejao ni magamba sugu humu ndani, lakini mnatumia uwezo wenu kufikiri. nawapenda some time.
ingekuwa wewe ndo umefumania ungefanya nini as?
Mi nikimfumania nawafungisha ndoa ya mkeka, afu naongoza mwendo kwenda kwa mkewe nasi tunafunga ndoa. Mambo ya kuua hayalipi. Unaua unawekwa sero, wakware wanaendelea kukugongea mkeo kilainiii.... STUKA.

Baada ya kusema hayo nitake radhi kwa kuniita Gamba, tena ukome na ukomage! Mi nnamiliki kadi ya PPT Maendeleo na nimeteuliwa kugombea urais 2015. Nikiukosa nakuwa mbunge wa EALA kupitia NCCR Mageuzi.
 
Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
kama hawatakumegea, dildo zinahusika kwa mademu, ila kwa wanaume nakataa kuwa watakua wafuasi wa geisha soap, lazma atatafuta mti wa kuung'oa tu!
 
Mi nakushauri kwenye pendekezo la kusaidia anzeni na wanaume wenzenu kule segerea wanaogeuzana kwa ukame,
Khaa! Hebu tutajie ID yako ya zamani. Huwezi kuwa na kamba miguuni afu ukanya mapwenti namna hii........ :der:
 
Yaani watu wangelijua wakaacha huo mchezo jamani! kuna watu hawanaga msamaha.....unapewa ujira wako hapohapo!

Ila sasa...inakuwaje kwa huyo mke mwenyewe aliyezini, ameachwa tu???
.....story inaendelea:
RCO (polisi) Msuya alimtaja marehemu huyo kuwa ni Maungu Mangiri (30) ambaye alifumaniwa na mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 akiwa na mkewe mtuhumiwa . Mke naye amejeruhiwa baada ya kuchomwa naye kisu cha tumbo na amelazwa katika hospitali ya kiteto.
RCO ametoa wito kwa jamii kutochukua sheria mkononi kwani mtu akifumaniwa zipo taratibu za kisheria za kumshughulikia yakiwemo malipo ya fidia.....
 
Hahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.

Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....

Fellow tablet umenielewa? Haya niPM namba ya binti aliyeko bongo ambaye mme wake mko naye huko Singapore.

Unajua hii sredi mpaka sasa fellow tablet tunamwaga mapwenti ya kufa mtu. Mi mwenyewe waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu, simjibu wala nini, uskute na yeye yupo humu JF halaf Rejao ndio mwizi wangu, nyambaaf zangu!.
Samtaimu nakuwa najisemea moyoni bora ningetafta waifu kopi ya lucy kibaki tu nikajipa matumaini
 
Last edited by a moderator:
Pole ya nani Lizzy

Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)
na watoto pia ambao baba yuko jela mama kalazwa hoi hospitali na aliyeuawa labda na yeye ana watoto.
 
Unajua hii sredi mpaka sasa fellow tablet tunamwaga mapwenti ya kufa mtu. Mi mwenyewe waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu, simjibu wala nini, uskute na yeye yupo humu JF halaf Rejao ndio mwizi wangu, nyambaaf zangu!.
Samtaimu nakuwa najisemea moyoni bora ningetafta waifu kopi ya lucy kibaki tu nikajipa matumaini
Hahahaha Fellow tablet hebu msome Bishanga hapa chini.... Hivi kidume mwenye akili zako unaenda kumtafunia Mmasai au mkurya mke wake? STUKA!!

.....story inaendelea:
RCO (polisi) Msuya alimtaja marehemu huyo kuwa ni Maungu Mangiri (30) ambaye alifumaniwa na mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 akiwa na mkewe mtuhumiwa . Mke naye amejeruhiwa baada ya kuchomwa naye kisu cha tumbo na amelazwa katika hospitali ya kiteto.
RCO ametoa wito kwa jamii kutochukua sheria mkononi kwani mtu akifumaniwa zipo taratibu za kisheria za kumshughulikia yakiwemo malipo ya fidia.....
 
LOL...Utamu huo tuliwekewa pahala pabaya.

ila ule mchezo mtamu jamani kha! hasa umpate mgongaji hodari, wallah ni noumer! mmhhh watu watachinjwa tu, hakuna utaalamu pale, unamkuta profesa mzima jasho linamtoka, maneno hayasikiki anavyokuwa anatwanga, halafu ukute kinu chenyewe chatwangwia tangawizi, mhhhh!
 
tuache utani "cha kuiba KITAMUUU"
na anayeiba naye ajue anafanya nini?? acha kabisa!! ni mwendo wa popote na kwenye maji kama swimingpool hivi inanoga zaidi, asikwambie mtu, as u ol knw ile kitu ni vacum, so mwili unakuwa wabaridi, lakini kinu cha motoooooooooo! acha tu tuchomwe visu, tena wavinoe tu!
 
Back
Top Bottom