mkome wake za watu!

mkome wake za watu!

Bishanga huu uoga umeanza lini?

Yanii tangu E wa T akuache unaweweseka.
 
hehehe halaf kuna ile waifu yuko yurop hazbendi yuko afrika, halaf jamaa kule afrika eti linajipa moyo kwamba waifu wake ni mtakatifu.
heheeh wapi Nyani Ngabu atuwekeee ule wimbo wa babu jinga.
kloro unasema?
halafu juu ya nini unamsifia mbaya wangu?
 
Halaf hii slogan ya mke wa mtu kwako mbona imeanza ghafla? mimi siielewi unajua, nakutaftia muda tu ukuje kunifafanulia. Si umekiona kiangazi kimeanza? sasa beach niende na nani?
kloro!
hujipendi?
 
hahahaha......... Unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... Akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.

Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....

Fellow tablet umenielewa? Haya nipm namba ya binti aliyeko unga ltd ambaye mme wake mko naye huko singapore.

usimpe hiyo namba tafadhali!
 
Ewaaaa.... cha msingi ni kuiba responsibly, siyo?:third:
Asprin khaaa! ................ siamin kwamba hata wewe na uzee huo unasapoti. Anyway kumbe huwaga unaiba responsibly eeh!
 
Last edited by a moderator:
Asprin, kuiba unresponsbly ni kama chafya mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Halaf hii slogan ya mke wa mtu kwako mbona imeanza ghafla? mimi siielewi unajua, nakutaftia muda tu ukuje kunifafanulia. Si umekiona kiangazi kimeanza? sasa beach niende na nani?

klorokwini muulize Bishanga anajua kila kitu, ndo maana hapo juu kahamaki eti umemtaja mbaya wake.
 
Last edited by a moderator:
kloro!
hujipendi?
bishanga mbona kama una uoga, au joka la kibisa, lenyewe naturally lina ant - vernom!? sem tujue kuwa una ukoo na cameroon, ama la usishtuke ukisikia habari za beach.
 
huyo mwanaume aliyeua hana akili kabisa .............
 
Dah! Hii imenishtua sana. Nilikuwa na mpango na mke wa mtu jioni ya leo lakini nimefuta mpango kabisa huo.
 
Hahahaha......... unaweza kukuta wakati jamaa linaongea na mkewe huku na lenyewe kuna binti ananyonya sterengo yake ya kumwagia mkojo.... akishakata simu anamwambia, nshaongea na kile kidubwashika kilichokuzibia nafasi yako ya kulala na mimi kijumlajumla...., afu wanaendelea na kazi.

Mimi bana mimi naamini mke wangu anakuwa wangu napokuwa nae kitandani. Hata akienda msibani nahisi kuna mjanja atakuwa ananimegea. Ndo maana namimi nikipata nafasi naitumia vizuri....

Fellow tablet umenielewa? Haya niPM namba ya binti aliyeko bongo ambaye mme wake mko naye huko Singapore.

duuh! hivi kumbe waume zetu hamtuamini kias hiki? Lol mara nyingi sana huwa namuonea sana huruma mwanamke anayetoka nje ya ndoa yake kwa sababu ya vitu anavyovikosa, ikiwa ni upendo, hela nk. Lakin kamwe simuonei huruma mwanamme anayetoka nje eti kwasababu ni tabia yake.

Unajua tutatetea tu lakin ukweli ni kwamba tabia haina dawa hasa hii ya wanaume kutoka nje. Mwanamke wa mtu maskini kajeruhiwa but naamin kama angekuwa anapata kila alichohitaj asingalitoka nje ya ndoa yake.

Unaona sasa Asprin na @klorokwin mnataka kutumanisha kuwa ninyi mnatoka kwasababu sisi wake zenu tunatoka lakin ukweli ni kwamba mwanamke aliyeolewa akipata anachotaka anaweza kuish maisha yake yote akiwa ana fanya tendo la ndoa na mumewe tu. Hisia za kumdhani mwenzio ni mdhambi ni dhambi sana.

Pia ninyi mnatoka nje kwasababu ya tabia yenu tu na siyo vinginevyo.labda Bishanga utuambie kwanini wanaume wanatoka nje ya ndoa zao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom