Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Natamani kusikia kuwa Serikali inaweka utaratibu ambao mtu binafsi anaweza kuunganishiwa Internet NYUMBANI KWAKE kutoka mkongo wa taifa na kulipia kila mwezi.
Na maanisha kuwe na package tofauti tofauti za kila mwezi kulingana na matumizi (speed) watu wachague.
Gharama za kuunganishiwa zinaweza kuwa kwa utaratibu wa mtu kulipia gharama za kuunganishiwa na kukatwa kwenye malipo ya mwezi/ hii ni kama Serekali haina fungu la kufanya kazi hii.
Naamini kuna watu wengi sana wakiwemo wa kada ya Afya, Elimu na Technologia wanaohitaji internet yenye nguvu na ya kuaminika kwenye kazi zao za kila siku.