Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Nawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako linatokea mda gani na huwa lunadumu kwa mda gani?Nawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.
Kwetu huwa katiiti tiba yake ni ndogo saana mkuu ni pmNawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.