Mmh hebu arudi hospital akafanye vipimo upyaHabari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez kuuchezesha wala vidole pia havichezi. ..Je
kwa sasa anaendelea na mazoezi ya huo mkonohakikisha anaangaliwa na daktari bingwa wa mifupa baada ya kutoa POP aone muunganiko unaendeleaje kisha atashauri kama aanze mazoezi ya viungo au vinginevyo maana kuna wataalamu wengine zaidi huenda wakahusishwa.
Ameambiwa baada ya mazoez ya mwezi mmoja akaangalie uungaji wa mfupa unaendaje. Ila hawaongelei swala la kipimo cha kujua status ya mshipa wa fahamu.Mmh hebu arudi hospital akafanye vipimo upya
Nenda kamtafute specialist wa mifupa na mfumo wa fahamu.Ameambiwa baada ya mazoez ya mwezi mmoja akaangalie uungaji wa mfupa unaendaje. Ila hawaongelei swala la kipimo cha kujua status ya mshipa wa fahamu.
Hilo halihusiani na mishipa ya fahamu vema arudi hospital kwa ajili ya hiloAmeambiwa baada ya mazoez ya mwezi mmoja akaangalie uungaji wa mfupa unaendaje. Ila hawaongelei swala la kipimo cha kujua status ya mshipa wa fahamu.
hili linaweza kuwa jambo kubwa ikiwa kituo anachotibiwa hakina wataalamu waliobobea.kwa sasa anaendelea na mazoezi ya huo mkono
Pole sana,Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez kuuchezesha wala vidole pia havichezi. ..Je