Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.Cdm kuna shida kubwa Sana...
Huyu jamaa asipoandika uzi wa Lissu ndani ya dakika tano anaugua. Sijui anafikiria saangapi maendeleo yake na familia yake.Mwaka huu CHADEMA itawafanye mvae boxer vicwani!!
Mwaka huu CHADEMA itawafanye mvae boxer vicwani!!
Kushinda ccm poleni kwa kufiwaCdm kuna shida kubwa Sana...
Umekosa la kuandika umeanza kuokoteza vya kuandika na ndio maana unajipinga mwenyewe, Mbowe hajawahi au kudhaniwa kuwa na akiri ya kijinga kama hiyo.
Ilishindwa CHADEMA ya kamanda Lowasa na Dr SlaaMwaka huu CHADEMA itawafanye mvae boxer vicwani!!
Tulushindwa kuvaa kwa lowassa aje kuwa huyo kiduku.shame.Mwaka huu CHADEMA itawafanye mvae boxer vicwani!!
Wakuvuavua;Ndugu zangu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.
Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.
Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.