Mkono wa Edward Manyama wasababisha mchezo kuvunjwa

Mkono wa Edward Manyama wasababisha mchezo kuvunjwa

Azamu wangejikita kuuza maandazi na juice zao za embe.mambo ya mpira wawaachie simba na yanga
 
Azam wanakimbiaje mchezo imekuwa ndondo cup ???
 
Mchezaji wa Azam FC Edward Manyama amevunjika mkono kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Stade Tunisien uliochezwa huko Tunisia.

Katika mchezo huo Refa alishindwa kuumudu kwa mujibu wa Afisa Habari wa Timu hiyo Hasheem Ibwe ambaye kaenda mbali zaidi kwa kudai kuwa haukuwa mchezo wa kirafiki. Na mpaka unavunjwa tayari Stade Tunisien walikuwa mbele kwa magoli 4 dhidi ya 1 la Azam.

Goli la 4 ndiyo chanzo cha mzozo kwani Azam FC hawakukubaliana.
si walitaka pri sizon nje ya nchi? sasa vilio vya nii!!!
 
Simba walishatia mpira kwapani,siwashangai AZAM
Utoporoo waliwahi kugomea mechi na Simba kwenye kombe la Kagame .Nakumbuka Nicolas Musonye aliyekua katibu mkuu wa CECAFA enzi hizo aliwatukana na kuwaita yanga majina mabaya sana😀😀😀.Baada ya hapo utoporooo walifungiwa kucheza michuano hiyo hadi baadae sana ndio wakasamehewa🤣🤣🤣
 
2008 ambapo Yanga ikiwa katika hali tete ya kiuchumi ilishindwa kutokea uwanjani kucheza na Simba katika mashindano ya Kombe la Kagame.

Yanga ikiwa chini ya aliyekuwa Mwenyekiti Imani Madega iligomea mchezo huo.
 
Back
Top Bottom