Acha kujipigia debe.Mrudisheni JEMEDARI SAIDI.
Jamaa anajipakulia minofu tuAcha kujipigia debe.
Simba walishatia mpira kwapani,siwashangai AZAMAzam wanakimbiaje mchezo imekuwa ndondo cup ???
si walitaka pri sizon nje ya nchi? sasa vilio vya nii!!!Mchezaji wa Azam FC Edward Manyama amevunjika mkono kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Stade Tunisien uliochezwa huko Tunisia.
Katika mchezo huo Refa alishindwa kuumudu kwa mujibu wa Afisa Habari wa Timu hiyo Hasheem Ibwe ambaye kaenda mbali zaidi kwa kudai kuwa haukuwa mchezo wa kirafiki. Na mpaka unavunjwa tayari Stade Tunisien walikuwa mbele kwa magoli 4 dhidi ya 1 la Azam.
Goli la 4 ndiyo chanzo cha mzozo kwani Azam FC hawakukubaliana.
Anacheza namba ngapi?Mrudisheni JEMEDARI SAIDI.
AahaaaaAloooooooooo
azam tantalila nyingi utendaji sifuri
walitaka kututambia na preseason yao uturuki ila wameufyata fyuuuuuu
Kumbe? Hata ujinga wao unafanana.Acha kujipigia debe.
Wamewaiga ndugu zao wa damu pale walipotia Mpira kwapani halftime Shamba la Bibi.Mechi ya kirafiki lkn wametia mpira kwapani? Hizi sio dalili nzuri ktk mpira
Wee waache,waje huku wakutane na Kayoko kaisha fungu, watapigana tenaWamewaiga ndugu zao wa damu pale walipotia Mpira kwapani halftime Shamba la Bibi.
Utoporoo waliwahi kugomea mechi na Simba kwenye kombe la Kagame .Nakumbuka Nicolas Musonye aliyekua katibu mkuu wa CECAFA enzi hizo aliwatukana na kuwaita yanga majina mabaya sana😀😀😀.Baada ya hapo utoporooo walifungiwa kucheza michuano hiyo hadi baadae sana ndio wakasamehewa🤣🤣🤣Simba walishatia mpira kwapani,siwashangai AZAM
2008 ambapo Yanga ikiwa katika hali tete ya kiuchumi ilishindwa kutokea uwanjani kucheza na Simba katika mashindano ya Kombe la Kagame.Utoporoo waliwahi kugomea mechi na Simba kwenye kombe la Kagame .Nakumbuka Nicolas Musonye aliyekua katibu mkuu wa CECAFA enzi hizo aliwatukana na kuwaita yanga majina mabaya sana😀😀😀.Baada ya hapo utoporooo walifungiwa kucheza michuano hiyo hadi baadae sana ndio wakasamehewa🤣🤣🤣