Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana uliulalia usiku,mwone daktari.nini chanzo cha kuumwa mkono wa kushoto? Hasa kwenye eneo la bega na mkono mzima kukosa raha? Je tiba yake ni nini?
Mkuu huu ni mwaka wa tatu sasa unauma. Kuna kipindi unatulia na kuna kpindi unauma kama sasainawezekana uliulalia usiku,mwone daktari.
kwa hiyo uko ICU?Mkuu huu ni mwaka wa tatu sasa unauma. Kuna kipindi unatulia na kuna kpindi unauma kama sasa
kuna mtu aliniambia jambo kama hili tena lakini mwenyewe sijioni kuwa na mawazo kiasi hicho. Asanteyour stree level could be high, punguza mawazo japo shida kwa mbongo ni kama CCM na ufisadi.
Wewe ni agent wa sheikh yahya nini? Extra curricular activities....UMEROGWA NDUGU YANGU.
NGOJA NlIKUCHEKIE HAPA KWENYE TV YANGU YA KIENYEJI KISHA NTAKUPA MKANDA KAMILI NA TIBA YA MATATIZO YAKO.
Asante sana Mkuu, nimepata makala nzuri baada ya kugoogle ngoja nisome kama itanisaidiaPole sana. Jaribu kuangalia ni wakati na hali gani unakua nayo wakati unauma. Mfano mimi nikiwa stressed naumwa sana shingo na mabega. Otherwise jaribu kuangalia matumizi ya mkono wako pia (try to google ergonomics)
Asante MR!Pole sn jaribu kumuona dk kwa uchunguzi zaidi??
Mimi silogeki BujibujiUMEROGWA NDUGU YANGU.
NGOJA NlIKUCHEKIE HAPA KWENYE TV YANGU YA KIENYEJI KISHA NTAKUPA MKANDA KAMILI NA TIBA YA MATATIZO YAKO.
UMEROGWA NDUGU YANGU.
NGOJA NlIKUCHEKIE HAPA KWENYE TV YANGU YA KIENYEJI KISHA NTAKUPA MKANDA KAMILI NA TIBA YA MATATIZO YAKO.
Asante Ama ila umenitisha sana Ndugu...Maradhi ya moyo nayaogopa kama nini. MUNGU nisaidie na kuniepusha na janga hili. AmenKamwone cardiologist, maumivu hayo yanaweza kuwa na uhusiano na matatizo ya moyo.
Asante Ama ila umenitisha sana Ndugu...Maradhi ya moyo nayaogopa kama nini. MUNGU nisaidie na kuniepusha na janga hili. Amen
Ni kweli MwMNdugu usiogope, huwezi kuchagua ugonjwa....ila ni kweli kunakuwa na uhusiano wa kuuma mkono wa kushoto na Moyo. La msingi na ukweli nenda Hosipitali naamini watasaidia kiasi fulani....