S stepper Senior Member Joined Aug 7, 2013 Posts 112 Reaction score 56 Apr 3, 2014 #1 Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Apr 4, 2014 #2 Nenda kariakoo mtaa wa gerezani
S stepper Senior Member Joined Aug 7, 2013 Posts 112 Reaction score 56 Apr 4, 2014 Thread starter #3 mtena said: Nenda kariakoo mtaa wa gerezani Click to expand... Poa nashukuru mkuu Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mtena said: Nenda kariakoo mtaa wa gerezani Click to expand... Poa nashukuru mkuu Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Apr 5, 2014 #4 yeah, nenda kwenye used!
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 21,859 Reaction score 19,736 Apr 5, 2014 #5 Nenda kidongo chekundu(gerezani) iko kibaoo
leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,708 Apr 5, 2014 #6 stepper said: Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums Click to expand... Weka model au picha!
stepper said: Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums Click to expand... Weka model au picha!
Nyambala JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 4,465 Reaction score 1,171 Apr 5, 2014 #7 Depending uko wapi lakini ebay will do you a trick!!!