Mkono wa mashine yakunyonyea vumbi (Vacuum cleaner )

stepper

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
112
Reaction score
56
Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nenda kidongo chekundu(gerezani) iko kibaoo
 
Habari wana jamvi. Natafuta mkono waVacuum cleaner wakwangu umekufa mwenye nao au taarifa unapatikana wapi? Mkono peke yake mashine bado nzima

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Weka model au picha!
 
Depending uko wapi lakini ebay will do you a trick!!!
 
Back
Top Bottom