mkopo bank-security hati ya nyumba

mkopo bank-security hati ya nyumba

nasri

Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
59
Reaction score
8
icon1.png
mkopo bank-security hati ya nyumba

habari ya asubuhu wanajamii wenzangu!
Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security!​
 
ndugu hbr yako. kuhusu kupata mkopo nashauri wasiliana na Commercial Bank of Africa au Azania Bank. Nami naomba msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba kwa haraka, nipo tabata kisukulu. waweza kunipa jibu kupitia chrisjohnjune@gmil.com
 
many bank offer 70 or 75 percent of the property value. So for property value of 40ml you will be able to take loan of 28ml or 30ml. U will get the loan after carryingout valuation which is done by valuer and checked by loan officer.
 
na kwa mfumo wa mabenki yetu riba kubwa,kutokua na mazingira mazuri ya biashara hiyo nyumba wataiuza tuu,labda uwe unalipa kwa mshahara mpaka ustaafu kazi!
 
mbali na thamani ya nyumba pia wanaangalia maeneo ilipo unaweza kuwa na jengo la thamani ya mil 500 lakini kijijini wanaweza wakagoma kukupa fedha nyingi kuliko mwenye nyumba ya thamani ya mil 100 aliyeko buguruni hii ni kwasababu ukishindwa kulipa wanaangalia uraisi wa kuuza dhamana ulioweka
 
many bank offer 70 or 75 percent of the property value. So for property value of 40ml you will be able to take loan of 28ml or 30ml. U will get the loan after carryingout valuation which is done by valuer and checked by loan officer.

Pia usisahau security is not enough also repayment ability either 1/3 ya salary iko fresh au ana business Turnover nzuri. Kama una nyumba na unahitaji mkopo ila huna mshahara mzuri au busnez turnover ya ukweli you can offer it to person with gud busnes turover yeye akaitumia kama 3rd part wewe uka consent then akakupa up to 35% ya loan na wewe ukafaidika. Ila sasa aki default hio loan ur house is gone
 
Hiyo ya kuweka kwa mtu tena usimshauri kabisa! Huyo mtu atakuwa na uchungu gani na hiyo dhamana uliyowekesha? Si huo ndo mwanzo wa kupoteza nyumba na kurudi kwenye upangaji?!!
 
Hawaangalii nyumba na hati kwanza wanaangalia unafanya biashara gani na jee unaweza kulipa ndipo wanakuuliza kama una hati na nyumba
 
Jamani mbona naona kama unataka kuiuza nyumba yako? Huoneshi kama una dhamira ya dhati kulipa deni. Tuambie kuhusu aina za biashara ufanyazo na mzunguko wako wa fedha.
icon1.png
mkopo bank-security hati ya nyumba

habari ya asubuhu wanajamii wenzangu!
Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security!​
 
Mpenzi mbona kimya sana?

Back
Top Bottom