Ila muwe mnajifunza kutumia akili wakati mwingine,huyu jamaa unamjibu wala hujui yuko course gani maana kuna course wanapata zaidi ya hicho kiwango alichoandika hapo,sanasana course za engenieering maana kuna special faculty requirements na researches kwa wengine,sasa inabidi huwe unajua hivi vitu ili upewe data za uhakika kijana.