Mkopo "BOOM" kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Mkopo "BOOM" kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Destroyer

Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Kwa wale wanavyuo vikuu ambao mshapata mkopo wa mwaka huu yaan boom jipya la 7500. Hivi ni tsh ngapi 2napata ktk awamu hii ya 1?
 
We fanya hesabu hata hizo za kujumlisha zinakushinda mwee!
 
we acha kuwa kilaza hivyo, inamana waliokuzunguka wote hawajui mnapata sh.ngapi hadi uje huku? We hujui semsta moja inasiku ngapi? Inamana umeshindwa kuzidisha 7500 kwa hizo... Kweli kuna watu wavivu kufikiri.
 
Kama sikosei ktk awamu ya kwanza ya laki 5 itakuwa 650,000/= halafu utapokea tena 465,000/= awamu ya pili.
 
Ila muwe mnajifunza kutumia akili wakati mwingine,huyu jamaa unamjibu wala hujui yuko course gani maana kuna course wanapata zaidi ya hicho kiwango alichoandika hapo,sanasana course za engenieering maana kuna special faculty requirements na researches kwa wengine,sasa inabidi huwe unajua hivi vitu ili upewe data za uhakika kijana.
 
usisahau kukalukuleti na fakati alawansi mkuu! huwa inasaidia sana mida ya majeruhi hasa mifuko ikianza kucharara! nakumbuka enzi zetu ilikuwa hadi tukunji kiduchu kustua la sivyo unaisikia kwenye bomba tu!
 
Wanafunzi wa hapa SAUT for the first tym tumepokea 698500/=.
 
Back
Top Bottom