Kumbe wanamikwara ?Tala walifunga biashara huku wananidai, sasa sijui waliamua kunisamehe au vipi maana hata sms za mikwara situmiwi tena.
mkuu tala wanamikwara ila ya kawaida, BRANCH nilikopa nikataka nisirudishe aisee walinitumia txt kua DHAMANA YA MKOPO WAKO NI MAISHA YAKO, na hiyo txt nilipokea fb kutoka kwa mwanzilishi wa hiyo kampuni.... Dadeq niliitafuta ile hela fasta nikalipa na ku uninstall program kabisa.Kumbe wanamikwara ?
Kumbe ni wanyambilis ki hivyo?mkuu tala wanamikwara ila ya kawaida, BRANCH nilikopa nikataka nisirudishe aisee walinitumia txt kua DHAMANA YA MKOPO WAKO NI MAISHA YAKO, na hiyo txt nilipokea fb kutoka kwa mwanzilishi wa hiyo kampuni.... Dadeq niliitafuta ile hela fasta nikalipa na ku uninstall program kabisa.
Wakat wananitafuta sikuepo bongo so nilivorud nkakuta Kama wamenisamehe vileUliwatokaje ?
Hawakukomaa?
Kila anayekopa huwa na mawazo kama hayaMimi tarehe ya kurudisha haitafika nitakua nishawapa chao.
Khantwe mimi siko hivyo. Hata nitakapokutumia msg kukueleza yaliyo moyoni mwangu juu yetu mimi na wewe usiyaone ni urongo. Nitakutafuta nikirudi xmas kama nitapata mkopo
Walikuona mtataWakat wananitafuta sikuepo bongo so nilivorud nkakuta Kama wamenisamehe vile
Khantwe mimi siko hivyo. Hata nitakapokutumia msg kukueleza yaliyo moyoni mwangu juu yetu mimi na wewe usiyaone ni urongo. Nitakutafuta nikirudi xmas kama nitapata mkopo
Poa, ila kwa pombe nawanyooshea hadi miguuNitake radhi. Chagga sio kabila. Makabila ni wamachame, wakibosho, wauru n.k katika hawa kila kabila lina tabia zake. Warombo hatudhulumu mtu.
SACO. Huo ni uvumi wa kwenye vijiwe vya kahawa naomba uyapuuze.Poa, ila kwa pombe nawanyooshea hadi miguu
Kuna uwezekano mkubwa xmas ya mwaka huu nisisafishe jina. Branch mpaka sasa bado wanaprocess au sijui ndio sipewi
Laki 2 tu inachukua siku tatu?
Na mimi unitafute pia.Khantwe mimi siko hivyo. Hata nitakapokutumia msg kukueleza yaliyo moyoni mwangu juu yetu mimi na wewe usiyaone ni urongo. Nitakutafuta nikirudi xmas kama nitapata mkopo
Nona unatafuta fursa ya namba bahariaπππNataka niwalipe hela Yao au nikukopeshe watakudai
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mi wananipigia simu kila siku na vitisho Kama vyoteNilichowafanya Hawa branch mpaka Leo hawajui kilichotokea