Mkopo Branch au Tala

Mkopo Branch au Tala

Kumbe wanamikwara ?
mkuu tala wanamikwara ila ya kawaida, BRANCH nilikopa nikataka nisirudishe aisee walinitumia txt kua DHAMANA YA MKOPO WAKO NI MAISHA YAKO, na hiyo txt nilipokea fb kutoka kwa mwanzilishi wa hiyo kampuni.... Dadeq niliitafuta ile hela fasta nikalipa na ku uninstall program kabisa.
 
Du
IMG_20191206_183035.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu tala wanamikwara ila ya kawaida, BRANCH nilikopa nikataka nisirudishe aisee walinitumia txt kua DHAMANA YA MKOPO WAKO NI MAISHA YAKO, na hiyo txt nilipokea fb kutoka kwa mwanzilishi wa hiyo kampuni.... Dadeq niliitafuta ile hela fasta nikalipa na ku uninstall program kabisa.
Kumbe ni wanyambilis ki hivyo?
Naona bado wana process mkopo wangu.
 
Nitake radhi. Chagga sio kabila. Makabila ni wamachame, wakibosho, wauru n.k katika hawa kila kabila lina tabia zake. Warombo hatudhulumu mtu.
Poa, ila kwa pombe nawanyooshea hadi miguu
 
Kuna uwezekano mkubwa xmas ya mwaka huu nisisafishe jina. Branch mpaka sasa bado wanaprocess au sijui ndio sipewi
Laki 2 tu inachukua siku tatu?
 
Kuna uwezekano mkubwa xmas ya mwaka huu nisisafishe jina. Branch mpaka sasa bado wanaprocess au sijui ndio sipewi
Laki 2 tu inachukua siku tatu?

Yani siku ya kwanza upewe laki 2 sahau ilo mkuu haupewi ata mia nakushauri kakope kwa mtu mwingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Khantwe mimi siko hivyo. Hata nitakapokutumia msg kukueleza yaliyo moyoni mwangu juu yetu mimi na wewe usiyaone ni urongo. Nitakutafuta nikirudi xmas kama nitapata mkopo
Na mimi unitafute pia.
 
Nataka niwalipe hela Yao au nikukopeshe watakudai

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom