Mkopo chapchap unahitajika

kijereshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
737
Reaction score
779
Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
 
Masharti nafuu ni yapi hayo?

"Au ni yale masharti yanayosema nitalipa nikipenda".
Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
 
Masharti nafuu ni yapi hayo?

"Au ni yale masharti yanayosema nitalipa nikipenda".
Taasisi nyingi za fedha zimekosa biashara kwa kiwango kikubwa kutokana na kufanya biashara kimazoea bila kuangalia zitafaidika kwa kiwango gani masharti nafuu ni yale pande mbili (mkopaji na mkopeshaji) wanapoafikiana kufanya biashara kila mtu akafaidika ndo maana siku hizi kila mtaa kuna 'loan sharks'- wakopeshaji makatili kwa tafsiri isiyo rasmi.
 
Kama utakutana na mkopeshaji ambaye ameegemea upande wake tu uko tayari kwa kupewa mkopo?
 
Kama utakutana na mkopeshaji ambaye ameegemea upande wake tu uko tayari kwa kupewa mkopo?
Rudia kusoma nilichokujibu mdau hapa ni pande husika kuelewana namna ya kulipana pasipo kukandamizana.
 
Mikopo kila kitu kwa mfanyabiashara lakni kusema ukweli kama ilivyo benki basi hata taasisi pia zinasaidia hata kama kaisi kikubwa.... ...
0744008208 [mawasiliano]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…