Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
piga simu no 0673202847Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
Taasisi nyingi za fedha zimekosa biashara kwa kiwango kikubwa kutokana na kufanya biashara kimazoea bila kuangalia zitafaidika kwa kiwango gani masharti nafuu ni yale pande mbili (mkopaji na mkopeshaji) wanapoafikiana kufanya biashara kila mtu akafaidika ndo maana siku hizi kila mtaa kuna 'loan sharks'- wakopeshaji makatili kwa tafsiri isiyo rasmi.Masharti nafuu ni yapi hayo?
"Au ni yale masharti yanayosema nitalipa nikipenda".
Taasisi nyingi za fedha zimekosa biashara kwa kiwango kikubwa kutokana na kufanya biashara kimazoea bila kuangalia zitafaidika kwa kiwango gani masharti nafuu ni yale pande mbili (mkopaji na mkopeshaji) wanapoafikiana kufanya biashara kila mtu akafaidika ndo maana siku hizi kila mtaa kuna 'loan sharks'- wakopeshaji makatili kwa tafsiri isiyo rasmi.
Rudia kusoma nilichokujibu mdau hapa ni pande husika kuelewana namna ya kulipana pasipo kukandamizana.Kama utakutana na mkopeshaji ambaye ameegemea upande wake tu uko tayari kwa kupewa mkopo?
Nimewapata mdau ila masharti yao kizunguzungu 30% riba kwa mwezipiga simu no 0673202847