Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Mbona wao walimwambia siku 7?Inachukua mwezi mmoja tu kwa kawaida!
Sasa ujinga uko wapi?Acheni Ujinga mwambie uyo Ndugu yako arudi apo crdb awaulize ndo watampa sababu sahihi.
Humu ndani uwez pata majib sahihi kwanin hajaingiziwa hela adi leo
Sasa unauliza nini??Mbona wao walimwambia siku 7?
Mwambie binamu yako awaulize wao CRDB ndio pekee wanaweza kuwa na jibu sahihi ya unachouliza hapaMbona wao walimwambia siku 7?
riba ipojeNenda NMB siku 3 una mkopo tayari
riba ipoje
Sawa, nitamwambiaMwambie binamu yako awaulize wao CRDB ndio pekee wanaweza kuwa na jibu sahihi ya unachouliza hapa
Alifanya process (mchakato) na kukamilika ila fedha haijaingia kwenye akauntiAmechukua mkopo hajachukua mkopo wiki inapita???? Ndo nini?
[emoji23]Acheni Ujinga mwambie uyo Ndugu yako arudi apo crdb awaulize ndo watampa sababu sahihi.
Humu ndani uwez pata majib sahihi kwanin hajaingiziwa hela adi leo