Mkopo CRDB unachukua siku ngapi hadi kuupata?

Mkopo CRDB unachukua siku ngapi hadi kuupata?

NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu.
 
NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu.
gross au net (ina make sense)
mshahara wangu gross ni 1.5m na net ni 0.5m bila shaka watanipa kwa base ya net, vipi kuhusu moja ya tatu kubaki.
 
Wadau,

Kuna binamu yangu (mtumishi wa Serikali) amechukua mkopo CRDB huko Ruvuma, lakini cha kushangaza hadi wiki inakatika hajapewa huo mkopo. Je, kwa wale waliokwishachukua CRDB huwa inachukua siku ngapi kuupata?
Hata miezi 3 na zaidi ingawa Kimei anatangaza kuwa ni wiki
 
Back
Top Bottom