N neema prosper Senior Member Joined Nov 8, 2010 Posts 146 Reaction score 154 Jun 5, 2018 #21 NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu.
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Jun 5, 2018 #22 neema prosper said: NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu. Click to expand... gross au net (ina make sense) mshahara wangu gross ni 1.5m na net ni 0.5m bila shaka watanipa kwa base ya net, vipi kuhusu moja ya tatu kubaki.
neema prosper said: NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu. Click to expand... gross au net (ina make sense) mshahara wangu gross ni 1.5m na net ni 0.5m bila shaka watanipa kwa base ya net, vipi kuhusu moja ya tatu kubaki.
T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,560 Jun 5, 2018 #23 Hivi ukitaka kopa unaenda Tangaza kwa ndugu?
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,900 Reaction score 3,508 Jun 5, 2018 #24 Akasankara said: Wadau, Kuna binamu yangu (mtumishi wa Serikali) amechukua mkopo CRDB huko Ruvuma, lakini cha kushangaza hadi wiki inakatika hajapewa huo mkopo. Je, kwa wale waliokwishachukua CRDB huwa inachukua siku ngapi kuupata? Click to expand... Hata miezi 3 na zaidi ingawa Kimei anatangaza kuwa ni wiki
Akasankara said: Wadau, Kuna binamu yangu (mtumishi wa Serikali) amechukua mkopo CRDB huko Ruvuma, lakini cha kushangaza hadi wiki inakatika hajapewa huo mkopo. Je, kwa wale waliokwishachukua CRDB huwa inachukua siku ngapi kuupata? Click to expand... Hata miezi 3 na zaidi ingawa Kimei anatangaza kuwa ni wiki
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,552 Reaction score 13,090 Jun 5, 2018 #25 huenda jamaa wanataka kitu kidogo ili waachie mpunga,
A Akasankara JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 4,210 Reaction score 5,752 Jun 5, 2018 Thread starter #26 CRDB waache blabla