Wakuu, nimerasimishwa ardhi na kama ekari tatu ivi na halmashauri ya kijiji cha msangani. Sasa swala langu ni je ninaweza nikatumia ardhi hiyo kukopea benki? kwangu mimi naona pale nikaweka mradi wa kufuga kuku wa kienyeji panafaa sana. Kwa mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali.