Mkopo dhamana ardhi

Mkopo dhamana ardhi

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wakuu, nimerasimishwa ardhi na kama ekari tatu ivi na halmashauri ya kijiji cha msangani. Sasa swala langu ni je ninaweza nikatumia ardhi hiyo kukopea benki? kwangu mimi naona pale nikaweka mradi wa kufuga kuku wa kienyeji panafaa sana. Kwa mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali.
 
Anzia benki wana majibu ya maswali yako, na ukipata majibu, usiwe mchoyo kuwajulisha wana jf wengine kwenye thread hii.
 
H/shauri ya kijiji inaweza kutoa hati ikakubalika benki? au unasema zile za Mkurabita mkuu?
 
Wakuu, nimerasimishwa ardhi na kama ekari tatu ivi na halmashauri ya kijiji cha msangani. Sasa swala langu ni je ninaweza nikatumia ardhi hiyo kukopea benki? kwangu mimi naona pale nikaweka mradi wa kufuga kuku wa kienyeji panafaa sana. Kwa mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali.

andaa hizo hatimiliki ,,wazamini wawili na anuani zao na barua ya utambulisho ,halafu tembelea tawi lolote la CRDB karibu yako,omba kukuona na afisa mikopo katika tawi husika la crdb.
 
iko hivi kama ardhi yako imerasimishwa it means utapata hati miliki na hivyo ni rahisi kupata mkopo.Na kama ni mashamba basi utapata hati miliki ya kimila hiyo pia unaweza kukopa na bank ya CRDB ndio na uhakika wanatoa mkopo hati miliki za kimila kiingereza zinaitwa CUSTOMARY RIGHT OF OCCUPANCY.
 
halimashauri ya kijiji haitoi hati isipokuwa halimshauri usimama ama shahidi kati ya mnunuaji na muuzaji na uthibitisha ukweli mmiliki halali wa eneo.
 
Anzia benki wana majibu ya maswali yako, na ukipata majibu, usiwe mchoyo kuwajulisha wana jf wengine kwenye thread hii.

Asante wakuu acha nifuatilie ushauri wenu then nitatoa mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom