Habari wakuu?, mimi nina kiwanja kipo iringa mjini na tayari nimejenga msingi nahitaji kujulishwa kama naweza kukitumia kupata mkopo wa milioni 3 na ninauwezo wa kurudisha laki moja(100,000) kwa kila mwezi mpaka mkopo uishe.
Naombeeni kufahamishwa kamakuna mtu au taasisi yeyote yenye masharti na riba nafuu itakayo nisaidia. Asanteni sana