Mkopo diploma ya ualimu, tunaombaje?

Mkopo diploma ya ualimu, tunaombaje?

John sky

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Kuhusu mkopo diploma ya ualimu kwa sisi wenye div 1-3 o-level tunaombaje?
 
wataanza kutoa mwaka huu, kuwapa motsha wanafunz wasome
 
huu unatolewa na wizara ya elim kwa wale watakaochaguliwa kusomea ualim cert na diploma kwa walim tarajari wa sayans na lugha tu. Kama utasoma masomo mengine hupat mkopo.
 
Jidanganye, Serikal Yetu Ni Ya Waongeaji Tu, Upewe Mkopo Wakati Diploma Unalala Bure, Unapikiwa Bure.
 
Kuhusu mkopo diploma ya ualimu kwa sisi wenye div 1-3 o-level tunaombaje?
Watatoa mkopo na ruzuku kwa wataosoma diploma waliomaliza form VI na sio form IV, tambua kuwa diploma kwa aliye na elimu ya form IV ni miaka mitatu
 
Jidanganye, Serikal Yetu Ni Ya Waongeaji Tu, Upewe Mkopo Wakati Diploma Unalala Bure, Unapikiwa Bure.
Vp kwan jeshi awalali bure na kula bure, mbona wanapewa posho, mkuu hii nchi tajiri sana ukiwa kwenye system
 
yap itatolewa kuanzia mwaka huu wa fedha, fomu utajaza ukishakuwa umedahiliwa chuoni kwako
 
Back
Top Bottom