Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

Kama deni ni dhambi ama kukopa ni dhambi mbona mama yenu kipenzi anakopa kwa fujo?
 
Sijawahi kupata Ban hivi ukiandika nini unakuwa banned? Maana kuna tusi nataka nimtukane huyu mtoa mada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] changanya lugha hadi washangae?

Tumia herufi kama qxmerniner

[emoji1321][emoji1321]
 
Kama huna background ya fani za Finance, Banking, Economics au Business Administration huwezi elewa Magufuli aliharibu kiasi gani!!

Ila kwa kuwa wewe johnthebaptist ni mwanasiasa by profession, endelea kupiga siasa
Loan......Debts.....bad debts!

Ngoja CPA Ruge atufafanulie!
 
Kama huna background ya fani za Finance, Banking, Economics au Business Administration huwezi elewa Magufuli aliharibu kiasi gani!!

Ila kwa kuwa wewe johnthebaptist ni mwanasiasa by profession, endelea kupiga siasa
Acha upotoshaji...Wewe wa finance tuambie sgr na mtadi wa umeme italeta hasara zipi kwenye uchumi wa nchi?

Hizo zote ulizotaja hapo ni field dadavua tuone wewe unavyoelewa hizo field in relations to miradi iliyoletwa na JPM
 
Kama deni ni dhambi ama kukopa ni dhambi mbona mama yenu kipenzi anakopa kwa fujo?
Ni vema ukaelewa, hapa hatuna tatizo na kukopa wala namna ya matumizi, mjadala mkubwa ni kwa nini tulidanganywa na rais nanyi mkashiriki uongo huo kutuaminisha Wananchi kuwa hatukopi kutoka nje eti tunatumia fedha yetu. Huoni uongo juu, haya sasa tunadaiwa 78 try.
 
Akili ndogo sana hii. Deni ni deni tokea siku unapewa pesa

Kosa ni kuwa na Mikopo ya Magufuli au yoyote yule ? Inabidi tuwe na Mikopo ya Nchi baada ya kufanya upembuzi yakinifu..., kila mtu akijikopea tu bila check and balances ni kurithisha madeni kwa vizazi vijavyo.... Kwahio issue ni je kilifanyika kitu na kilichofanyika kilipitia ngazi husika na kupitishwa au mtu alijiamulia tu kama vile anatumia pesa ya mshahara wake
Spika Ndugai alishasema taratibu zote zilifuatwa.
 
Akili ndogo sana hii. Deni ni deni tokea siku unapewa pesa.
Kawauulize Elon Musk na Jeff Bezos wana deni kiasi gani kwenye ma banks? Au USA, Japan, etc wana madeni kiasi gani huko IMF na WB ; Utajiri unaambatana na madeni bila kwakua bila kukopa huwezi kukua kiuchumi, shida ni ukikopa unaenda kufanya nini...Masikini ndiye hana deni kwakua hana chakuwekeza
 
Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Barile networks imeanza kukata,hizo pesa magufuli alikua hachukui kwenda kunywea bia bali anachukua kwa ajili ya kutekeleza miladi ambayo sisi wenyewe tunai hitaji,
Sasa kazi kwetu kuilipa.

Pia waliobaki wasimamie hizo pesa zifanye kazi halisi na sio kuzitumia wao na matumbo yao.
 
Mnapotosha. Hoja ya usingi ni UONGO wa Mwendazake. Alikuwa anatudanganya kwamba miradi inatekelezwa kwa fedha za ndani, kumbe alikuwa ni mikopo ya kujifichaficha bila kutuambia sisi waajiri wake!
Kwani wanaokukopesha wanakupa tu?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kawauulize Elon Musk na Jeff Bezos wana deni kiasi gani kwenye ma banks? Au USA, Japan, etc wana madeni kiasi gani huko IMF na WB ; Utajiri unaambatana na madeni bila kwakua bila kukopa huwezi kukua kiuchumi, shida ni ukikopa unaenda kufanya nini...Masikini ndiye hana deni kwakua hana chakuwekeza
USA inachapisha dola kiholela bila kuhatarisha kushuka thamani ya dola kwa sababu mafuta yanauzwa kwa dola. Nchi nyingine ingekuwa na deni kama USA, ingeshafilisika tayari. Deni la nchi likizidi kipato cha nchi au tukishindwa kulikarabati deni (debt service), hakuna atakayekupa mkopo mwingine. Nchi hii inategemea mikopo kuiendesha, IMF na WB wakikataa kutoa mikopo uchumi utaporomoka.
 
Barile networks imeanza kukata,hizo pesa magufuli alikua hachukui kwenda kunywea bia bali anachukua kwa ajili ya kutekeleza miladi ambayo sisi wenyewe tunai hitaji,
Sasa kazi kwetu kuilipa.

Pia waliobaki wasimamie hizo pesa zifanye kazi halisi na sio kuzitumia wao na matumbo yao.
Umenena vema bwashee!
 
Acha kupotosha jadili hoja ya Balile, kama alikuwa anatekeleza miradi kulikuwa na haja ganj ya kutudanya kwamba eti tunatumia fedha yetu ya ndani kumbe alikuwa akikopa nje tena kwa riba kubwa kutoka kwa mabeberu aliokuwa unatuaminisha kuwa hawatupendi. Hii ni aina gani ya roho na uzalendo up? Hata bado miradi haijakamilika kumbe mabeberu wameshazalisha riba ya zaidi ya tr 6 halafu anamsakizia mwingine. Kwa kasi hii atawezaje kulipa. Du!
 
Acha upotoshaji...Wewe wa finance tuambie sgr na mtadi wa umeme italeta hasara zipi kwenye uchumi wa nchi?

Hizo zote ulizotaja hapo ni field dadavua tuone wewe unavyoelewa hizo field in relations to miradi iliyoletwa na JPM
Wewe Ame ni mbuzi hata nikipiga gitaa huwezi cheza. Kakojoe ulale
 
Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Mkuu wewe ni kama mwalimu wa praimari akijaribu kuwa kecture wanafunzi wa PhD.
Jitahidi, pengine utafanikiwa.
 
Mkuu wewe ni kama mwalimu wa praimari akijaribu kuwa kecture wanafunzi wa PhD.
Jitahidi, pengine utafanikiwa.
Vitu vingine ni rahisi sana.

Ukienda benki kuna tofauti kati ya kulipa mkopo na " deni la mkopo"

Mkopo unakstwa tu kwa mujibu wa mkataba ila ukishabadilika na kuwa deni hata utaratibu wa malipo unabadilika.

Ukienda TRA kukadiriwa Income tax ya mwaka lile siyo deni ni kodi tu ila utakaposhindwa kulipa zile instalments ndio zinageuka kuwa madeni.

Magufuli hajaacha deni lolote so far!
 
Back
Top Bottom