Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu iliyopita. Naomba kujulishwa kwa iringa ni sehem gani nzuri na nitakatwa sh ngapi kwa mwezi nikiwa nataka mkopo kwa miaka miwili?