Mkopo jamani,mkopo wa 2M tu.

Mkopo jamani,mkopo wa 2M tu.

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,643
Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu iliyopita. Naomba kujulishwa kwa iringa ni sehem gani nzuri na nitakatwa sh ngapi kwa mwezi nikiwa nataka mkopo kwa miaka miwili?
 
  • Jaribu NMB. Watakupa mchanganuo wa makato ya kila mwezi.
 
Back
Top Bottom