LMK007
New Member
- Oct 5, 2018
- 2
- 2
Habari za leo, nilikua nahitaji ushauri wenu.
Mm pamoja na mdogo wangu tulijenga nyumba kwa kutumia savings zetu kwa ajili ya investment kwenye real estate. Kwa bahati mbaya tulikwama kiuchumi kwa sababu zilizokua nje ya uwezo wetu na hivyo iliishia 80%(value around 350M+)na kuimalizia ni 80M finishing as per BOQ.
Kila mmoja ana ajira, sema vipato vyetu tunavyopata kwa sasa haviwezi kukidhi uwezo wa kuimalizia. Ni mwaka mmoja umepita sasa toka ujenzi uliposimama.
Miezi miwili iliyopita tuliwaza tuiuze, na nyumba hivi sasa ipo sokoni lkn tumewaza na tumeona ni vyema kuchukua mkopo tuimalizie kisha kuipangisha kuliko kuuza kwa hasara maana ile kwetu ni asset inayoweza kutusaidia baadae.
Nyumba ni ya kisasa (contemporary house) ipo barabarani kabisa, ni ya ghorofa ina 5 bedrooms, sitting juu na chini na ina uwezo wa kupangishwa walau min. 3M+ per month ikikamilika.
Je, ni bora kuiuza tu kwa bei ya hasara au tukope tupangishe?