Mkopo kumalizia au kuuza nyumba

Mkopo kumalizia au kuuza nyumba

LMK007

New Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Habari za leo, nilikua nahitaji ushauri wenu.

Mm pamoja na mdogo wangu tulijenga nyumba kwa kutumia savings zetu kwa ajili ya investment kwenye real estate. Kwa bahati mbaya tulikwama kiuchumi kwa sababu zilizokua nje ya uwezo wetu na hivyo iliishia 80%(value around 350M+)na kuimalizia ni 80M finishing as per BOQ.

Kila mmoja ana ajira, sema vipato vyetu tunavyopata kwa sasa haviwezi kukidhi uwezo wa kuimalizia. Ni mwaka mmoja umepita sasa toka ujenzi uliposimama.

Miezi miwili iliyopita tuliwaza tuiuze, na nyumba hivi sasa ipo sokoni lkn tumewaza na tumeona ni vyema kuchukua mkopo tuimalizie kisha kuipangisha kuliko kuuza kwa hasara maana ile kwetu ni asset inayoweza kutusaidia baadae.

Nyumba ni ya kisasa (contemporary house) ipo barabarani kabisa, ni ya ghorofa ina 5 bedrooms, sitting juu na chini na ina uwezo wa kupangishwa walau min. 3M+ per month ikikamilika.

Je, ni bora kuiuza tu kwa bei ya hasara au tukope tupangishe?
 
Inategemeana na nyumba iko mkoa gani?
 
Je, mkiiuza mkapata hiyo pesa mtaitumia kwenye maendeleo mengine au bado hamjapata wazo?

Je, mkikopa mtapata pesa ya marejesho kwa wakati?.Lakini kama mliweza kukomaa hadi ikafika asilimia 80 hamuoni kwamba mlikuwa mmepiga hatua kubwa sana? Hapo ni sawa mmeshakula ng'ombe mzima bado mkia tu.

Msiue maono yenu malizieni hiyo nyumba na Mungu atawasaidia mtayaona matunda yake.
 
Habari za leo, nilikua nahitaji ushauri wenu.

Mm pamoja na mdogo wangu tulijenga nyumba kwa kutumia savings zetu kwa ajili ya investment kwenye real estate. Kwa bahati mbaya tulikwama kiuchumi kwa sababu zilizokua nje ya uwezo wetu na hivyo iliishia 80%(value around 350M+)na kuimalizia ni 80M finishing as per BOQ.

Kila mmoja ana ajira, sema vipato vyetu tunavyopata kwa sasa haviwezi kukidhi uwezo wa kuimalizia. Ni mwaka mmoja umepita sasa toka ujenzi uliposimama.

Miezi miwili iliyopita tuliwaza tuiuze, na nyumba hivi sasa ipo sokoni lkn tumewaza na tumeona ni vyema kuchukua mkopo tuimalizie kisha kuipangisha kuliko kuuza kwa hasara maana ile kwetu ni asset inayoweza kutusaidia baadae.

Nyumba ni ya kisasa (contemporary house) ipo barabarani kabisa, ni ya ghorofa ina 5 bedrooms, sitting juu na chini na ina uwezo wa kupangishwa walau min. 3M+ per month ikikamilika.

Je, ni bora kuiuza tu kwa bei ya hasara au tukope tupangishe?
Nenda bank, chukua loan mortgage, malizia nyumba.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Huko Goba hakuna mtu atakulipa kodi 3M kwa mwezi kuishi.

Nimewaza tu, mlipataja 350M ila mshindwe 80?
 
ichukulien mkopo nyingine weka kwenye nyumba nyingine weka investment nyumba peke yake haiwezi kurudisha mkopo kwa haraka
 
Hamkushauriana vizuri kabla ya kuanza wewe na ndugu yako..sijui ukubwa wa kiwanja ila mngejenga nyumba za kawaida mngekuwa mmemaliza na kujenga tena kwenye maeneo mengine zaidi ya matatu..sasa hivi mngekuwa mnakula Kodi.
Kama mmempata mteja uzeni halafu mfuate kama nilivyosema hapo juu kwani hata mkimalizia hapa kwahiyo Kodi mnayofukiria kwa mwezi itakuwa shida kulipa deni kama mtakopa.
 
Back
Top Bottom